Go to ...

genetv41.com on Google+genetv41.com on YouTubeRSS Feed

sheria ya ukeketwaji ya pitishwa nchini Misri

Mamlaka nchini Misri imeongeza adhabu kwa yeyote atakae walazimisha watoto wa kike kukeketwa. Sheria imependekeza kifungo gerezani kati ya miezi mitatu hadi miaka mitatu kwa mtu atakaepatikana na hatia .Huku baraza la mawaziri limepitisha mpango wa kifungo cha gerezani kati ya miaka mitano hadi saba. Hukumu ya miaka kumi na mitano inaweza kutumika pale ambapo

MICHEZO

Yanga wamerudi

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, Yanga, imeanza vyema kampeni ya kutetea ubingwa wao baada ya kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya African Lyon katika mchezo uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar es Salaam. MSHAMBULIAJI WA YANGA, AMMIS TAMBWE AKIFANYIWA MADHAMBI NA BEKI WA AFRICAN LYON, WILLIAM OTONG, KWAKATI

REKODI ZAO

Mbwa achaguliwa kuwa meya Minnesota MAREKANI

Mbwa mmoja katika jimbo la Minnesota, Marekani amechaguliwa tena kuhudumu kama meya wa mji mmoja katika jimbo hilo. Mbwa huyo kwa jina Duke ana umri wa miaka tisa na alichaguliwa mara ya kwanza kuwa meya wa mji wa Cormorant mwaka 2014, kwa mujibu wa kituo cha habari cha WDAY kituo ambacho kina ushirikiano na shirika

instagram

EXCLUSIVE ON INSTA: USALIJI WA WOLPER CCM HATAREE

Niadje wadau ? wikiendi ilikua nivipi?? oky now  weekend hii MR-INSTA nilikuwa napitapita katika pande za insta kama kawaida mara nkadokezwa na mdau mwingine kuhusu mkutano wa ccm pande za DOM mara nkaona picha za yulee aliyekua akijiita mtoto wa LOWASA akiwa amevalia nguo za upande wapili akiwa na bonge tabasamu  ikawakama sijaelewa vizuri ila tangia jumapili

EXCLUSIVE ON INSTA:Mangekimabi avuka mipaka atua kwa JPM

Leo MR INSTA nimepitapita  instagram nkakutana na bonge ujumbe kutoka kwa akaunt ya Mwanadada MANGEKIMAMBI mwanadada huyu ameshusha bonge ujumbe  ujumbe mzito  kumuhusu mheshimiwa JPM mimi nkaona nsije nkaandika nkakosea nkatafutwa na wavaa suti nilicho kifanya nliupiga picha  alafu nikakuwekea mdau wangu lengo ni wewe utoe maoni  yako kuhusiana na alichokiandika mwanadada huyu     MR INSTA

LEO ON INSTA: MADEE amwaga wosia kwa RAYMOND(rayvanny) na DOGOJANJA

Niadje wadau wangu ? Leo MR INSTA  nimeamka nkaingia mzigoni katika pitapita insta nkakutana  na na bonge ujumbe toka kwa kaka mkubwa MADEE, MADEE ameandika ujumbe wakuwahusia wadogo zake JANJARO na RAYVANNY ujumbehuo uliandikwa hivi “HUSIA KWA WANANGU/c mnakumbuka kuletumetoka eeh…simnakumbuka tulivokua tunakula eeh…c mnakumbuka tulivyokua tunachekwa eeh…sasa hawatucheki wanatushangilia..msidanganywe na mliowakuta mjini..haswa marafiki wakike fake